TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Fly Me to the Moon

The Typologically Different Question Answering Dataset

Wimbo huu ulirekodiwa kwa mara ya kwanza mwaka 1954, na Kaye Ballard na kuuzwa na  Decca Records kama kijisehemu cha single kilichokuwa na namba 29114. Mnamo mwaka 1956, wimbo huu ulirekodiwa kwa mara ya pili na Portia Nelson katika albamu yake ya ‘Let Me Love You’ na katika mwaka huo huo, mwanamuziki mwingine aliyejulikana kama Johnny Mathis alirekodi wimbo huom kwa mara nyingine tena, hii ikawa ni mara ya kwanza kwa jina la ‘’Fly Me to the Moon’’ kutokezea katika kava la juu la rekodi hiyo

Fly Me to the Moon uliimbwa ulirekodiwa na nani?

  • Ground Truth Answers: Kaye BallardKaye BallardKaye Ballard

  • Prediction: